Jamani natafuta dawa ya popo.

Jamani natafuta dawa ya popo.

FADHILIEJ

Senior Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
132
Reaction score
18
Wadau wasalaam,ninaomba msaada tafadhali,popo wamevamia kwangu wananitesa sana,je dawa au mtego ni upi?msaada please.
 
nenda duka la dawa za mifugo nunua dawa inaitwa nuvan. 100mls ni sawa na chupa ndogo ya dawa ya kikohozi ya maji. changanya maji litambili panda juu ya dari na fagio unachovya unarusha darini kote. au nunua bomba la spray kama 5000 hivi kurahisisha.onyo; dawa hii ni sumu kali andaa maji ya kunawa kabla. watoto,vyombo yva chakula view mbali
 
tafuta watu wanaofanya fumigation.., wao watafanya kila kitu na wana utaalamu wa dawa za kutumia, baada ya hapo kama ni kwenye dari hakikisha unaziba matundu ambayo wanatumia kuingia
 
Popo juu ya paa la nyumba yangu imekuwa kero baada ya kupanda juu singibodi nilikuta kinyesi kimerudikana sehem moja nikazoa debe harufu mbaya naisikia au inanuka juu ya paa singibodi nifundishen dawa... mnaofahamu kesi hii nipen maujanja
 
Tumia dawa ya Rungu ila sina uhakika lakini.
 
Angalia dawa ambayo haitakudhuru wewe na familia. Usafi ni muhimu sana jombaa na mwanga.
 
Ila kinyesi cha popo ni moja ya mbolea safi sana
 
Kasaloo na mzee wa Zanzibar spices...... teh teh ...kumbe pemba waliwa
Lete uzi mnawalaje.... mshikaki ama lost
 
Back
Top Bottom