Jamani natafuta dawa ya popo.

Jamani natafuta dawa ya popo.

Tafuta pili pili mbuz kavu hata nusu kilo au kilo moja zitwange kisha weka darin popo wote watakimbia
 
mkuu popo wanasumbua sana.dawa yake panda ktk dari ziba sehemu zote na sementi na mchanga wasipate nafasi ya kutoka au kuingiw hiyo ndio dawa kubwa.Jaribu utaona mafanikio yake
 
Nikweli hasa wakazi wa Maeneo karibu ya Msitu wa Ngezi,ila serikali ilipiga marufu baada ya popo kuanza kuadimia,maana pia ni vivutio vya utalii katika msitu ule.Ila ni wale popo wakubwa,wanamafuta balaa.
Sasa kwa sasa ukikamatwa umemkamata popo ujue jela,watu wa maliasili wanakukamata.
Sasa hivi tunakula Panya buku,huku ni mlo wa kawaida sana tu,ndio maana nasema haya makabila ya huku na bara yanashabihiana sana.
Huku panya buku dili,na akionekana mtaani basi atakimbizwa mbio mbaya hadi apatikane,kisha watu wanamchoma wanamla,maana ni mzuri zaidi akichomwa.
 
Pole kwa usumbuvu ambao hata mie niliupata, napenda nikupatie namba hii 0768098262 atakusaidia na hutoamini, usipuuze na kama hutofanikiwa nikashifu utakavyo
 
Back
Top Bottom