Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
mtishie unaenda kwa mganga kumloga mimba ichoropoke,,
Hahahahahahahah ..u must hv some damn Trojan in ur brain...
mtishie unaenda kwa mganga kumloga mimba ichoropoke,,
Heheh..TII SHERIA BILA SHURUTI...
Tyta huyu mdada kumbe na yeye humo humu MMU,kanipigia simu kuniuliza kwa nini nimepost issue zetu humu,kawaka kinoma ningejua mapema ningefuatilia avatar yake.
huyo ilitakiwa kwanza akulazimishe ulee mimba ili uikimbie..
hapo angepata mwanya wa kukukimbia na mwanae..
hongera lakini kwa kuonesha uwezo wa kuzalisha!
Dah una kumbukumbu mkuu,michepuko jamani.
Wakurya hampendwi kwani ni makatili sana!!
Story ya kwenye kahawa hii! teh teh teh
Jamani kuna mdada nina mahusiano naye ingawa si ya muda mrefu,na inshort ni kama yeye ndo alienianza nikajikuta na mie namwonyesha kuwa nayaweza,sasa tatizo linalonifanya niombe ushauri ni kwamba kanasa ujauzito wangu,na kwa vile yuko safi kiuchumi na inavyoonekana lengo lake lilikua mimba kaniambia niachie ngazi na yupo tayari kumtunza mtoto peke yake,pia hataki nimwambie mtu yeyote habari hii na ananilazimisha kuingia nae makubaliano maalumu ya kutojihusisha kwa namna yeyote na mtoto atakaezaliwa kisheria ili nisiwe na haki ya kuitwa baba WA mtoto atakaezaliwa,na yupo tayari kunilipa gharama za kuipotezea hiyo mimba,nimeshindwa kumwelewa ana Maana gani?ushauri jamani.