Ndugu yangu asome course gani kati ya Agriculture and Natural Resource Economics and Business na Shipping and Port Logistics?

Doyi

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
1,428
1,475
Ndugu yangu huyu kamaliza form six mwaka huu na matokeo amepata division 1 na selection za chuo amepata UDSM course ya Bachelor of Agriculture and Natural Resources Economics and Business na NIT kapata Shipping and Port Logistics.

Bado yupo njia panda kuhusu nini asome kuzingatia changamoto za maisha na soko la ajira lilivyo. Anaomba wadau mbali mbali wampe mawazo course gani asomee kwa maana ya hasara na faida za kusoma course A na kuacha course B au kinyume chake.

Ushauri wenu utanisaidia pia mimi kama ndugu yake nijue cha kumshauri maana mimi kama mimi nakosa cha kumshauri.asante
 
Back
Top Bottom