Jamani naombeni ushauri

Jamani naombeni ushauri

Kila mwanamke ana hitaji lake,lakini tambua kuwa kila mwanamke anahitaji kupendwa kwa dhati,hayo mengine ni ya ziada!
 
Ukipenda Sana na kuonesha kujali unageuka kama mjinga flani afu msichana anaweka demand ngum Sana ambazo zinaondoa hata utu wa mtu yamenikuta nikaona nipishe kwanza ukikosea unaomba samahani akikosea anakwambia usimind vitu vidogo siku ukipotezea utasikia unajua ulichofanya sijapenda na hata hujui kuomba samahani! Bora kuwa peke yako kwa Mda flani mpaka wakati utakapofika #mapenzi ni two way traffic Kama unataka kupendwa nawe penda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom