Tatizo mnaingia kwenye ndoa mkiwa na umri mdogo. Ingieni kwenye ndoa mkishakomaa kiakili na tayari umeshapata mafunzo kutoka kwa dada /kaka zako ambao wamekuzidi umri na wanaishi na familia zao. Unakuta mtoto mdogo anaoa na hana kazi anategemea msaada wa chakula kutoka kwa wazazi wake. Sasa inapotokea mke anapatwa na tatizo anashindwa aanzie wapi na aishie wapi.