Jamani naombeni ushauri

siemens c25

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
217
44
mimi ni kijana nileyeoa mwaka mmoja uliopita mkewangu sasa anaujauzito wa miezi7 tofauti na zamani sikuizi kila nikimuomba unyumba anadai nyonga zinauma hivi wanawake wajawazito huwa wanakuwa hivyo? Nifanyaje mana sitaki kuisaliti ndoa yangu
 
Mkuu kuna complications nyingi sana za uzazi na kuumwa na nyonga ni mojawapo...mwelewe mke wako na ishinde tamaa...
 
Tatizo mnaingia kwenye ndoa mkiwa na umri mdogo. Ingieni kwenye ndoa mkishakomaa kiakili na tayari umeshapata mafunzo kutoka kwa dada /kaka zako ambao wamekuzidi umri na wanaishi na familia zao. Unakuta mtoto mdogo anaoa na hana kazi anategemea msaada wa chakula kutoka kwa wazazi wake. Sasa inapotokea mke anapatwa na tatizo anashindwa aanzie wapi na aishie wapi.
 
Pole saana na tatizo lako... aaaissse una bahati mbaya saana maana in most cases Wanawake tukiwa wajawazito kila mara waweza kua wahitaji... Hivo ni bora mkamuona doctor ndio atawapa jibu sahihi... or else hapa tutatoa majibu out of assumptions...
 
Tatizo mnaingia kwenye ndoa mkiwa na umri mdogo. Ingieni kwenye ndoa mkishakomaa kiakili na tayari umeshapata mafunzo kutoka kwa dada /kaka zako ambao wamekuzidi umri na wanaishi na familia zao. Unakuta mtoto mdogo anaoa na hana kazi anategemea msaada wa chakula kutoka kwa wazazi wake. Sasa inapotokea mke anapatwa na tatizo anashindwa aanzie wapi na aishie wapi.

Mkuu ungetoa tu ushauri kwa upendo au kupotezea kama huwezi kumuelewa mtu!
Hii staili ya kuzodoa zodoa hapa jukwaani haijakaa poa hata kama hatujuani. Ila kuna manufaa sana kwenye haya majukwaa!
 
pole kaka lkn mimba ya mkeo ni kubwa kwa hiyo ni sawa anavyolalamika nyonga jitahid nauvumilie
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom