wakati wanakatiana mauno walitegemea nin kwani?
Wakati wanakatiana mauno walitegemea nin kwani?
amlaumu demu....wakati wote huo wanagegedana alikuwa hapati mimba kisa anajua anaolewa ndio anadaka mimba...b.itches!!!
Kwa hiyo yy alijua demu tasa au?
jambo la muhimu hapo mdogo wangu amwache mwanamke ajifungue kwanza thn wafunge ndoa ukijaribu kufungisha ndoa na mwanamke ni mjamzito ina maana mwanaume anafunga ndoa na watu wawili kitu ambacho si sawa
Agano la kale linasemaje juu ya wazinifu?