Mkuu hiyo memory(512MB) inawezekana ni zaidi ya maximum capacity ya SIMU yako Mfano Nokia N70 unaweza kutika memory card hadi 1.5GB ila ukivuuka hapo, utakua unafomati kila wiki kama sio kila siku--Be care next time--Ikiwa hilo sio tatizo then kama inasoma katika phone NYENGINE au PC,delete on video file and try again, if not format the card.Happy Formating 🙂