wakuu naombeni frequency za Emanuel TV kwenye azam..nimeangaika sana kuzitafuta naombeni mnisaidie. mods msiunganishe huu Uzi na mwingine ule, nimekua specific
Nilifanikiwa mkuu
Nilifanikiwa mkuu
Frequency:10725
Symbol rate 30000 Polarization:H
Frequency:10725
Symbol rate 30000 Polarization:H
vp kwa zuku mkuu?
mkuu vipi kuhusu kwa madishi haya makubwa, frequency zipi ntafanikiwa?
Hizi frequency ni kwa Azam tv sijui kwingine