Jamani naomba ushauri kuusu mapenzi..

Jamani naomba ushauri kuusu mapenzi..

Inawezekana aliona uko poor performance kwenye mapenzi anaona hata mkiwa wapenzi utamtia shombo tu
 
Acha uboya ww huyo ana bwana mwingine achana nae mwaka mzima unafukuzia demu 1 tu

Wastage of resources
 
Komaa aisee hawa viumbe inakupasa uwe king'ang'anizi ili uwape

Kumbuka

"Quitters never win,Winners never quit"
 
usiforce visivowezekana viwezekane.
Mimi niliwahi kuwa hivo nampenda MTU yeye hanipendi... halafu napendwa na MTU ,simpendi!
nikamkubali kipindi nmeachana na huyo bwana Ila moyo wangu haumpendi kabisa nikamwacha gafla sikufanya nae chochote!
Kama miaka 9 iliopita na ananipenda mpaka Leo, na Mimi simpendi kimapenzi kabisa na anajua!
 
mkuu,ulipona ule ugonjwa wa kutoa maji meupe ukeni?
 
Bhafijana acha kulilia mapenzi muda unao tumia kumwaza ndo ulikuwa muda wa kuandaa maisha yako ya kesho jichunguze mwenyewe unaweza ukawa na mapungufu ndo maana anaona hawezi kuwa na wewe
 
Kufa kufaana sio?
Kuona mchiz kabwagwa ndo unakomaaaa wanawake kibao hivyo kwann uangaike?
Ila kwakuwa kakusumbua sana jitahd ule pussy yake kwanza ndo uende coz kiss has no memory but only hard ***.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom