nyanga kante
Member
- Jan 7, 2017
- 36
- 34
..
tafuta anekupenda huyo hakupendi kabisaaaaaaaaaaaaaaa utaishia kujinyonga tu,wewe umekosa mademu wamejaaJamani naomba ushauri kuusu mapenz, kuna msichana nampenda sana na nimeshamweleza lakini anashindwa kunielewa mpk sasa umetimia mwaka mzima bado mambo ni yale yale, na alishawai kukubali tuwe wapenzi ila haikupita hata wiki akabadili mawazo sababu alaikua anadai ana mwanaume anaempenda. Nilimwelewa ila sasa ameshaachana na uyo mwanaume tena kwa ugomvi kwa sabab uyo mwanaume ana madem wengine wengi. Kwa kuona ivo niliamua kumfata ila kazingua tena kwa sababu zisizo na msingi na wakati hua anazingua kukubali tulikua seem nyeti na niliweza kumkiss na kufanya nae mambo mengi ya kimapenzi tena kwa iyari ila baada ya apo bado ananambia hatuwezi kua wapenzi. Nisaidieni ushauri nifanye nini jamani
Achana na Mapenzi, deal na MaishaJamani naomba ushauri kuusu mapenz, kuna msichana nampenda sana na nimeshamweleza lakini anashindwa kunielewa mpk sasa umetimia mwaka mzima bado mambo ni yale yale, na alishawai kukubali tuwe wapenzi ila haikupita hata wiki akabadili mawazo sababu alaikua anadai ana mwanaume anaempenda. Nilimwelewa ila sasa ameshaachana na uyo mwanaume tena kwa ugomvi kwa sabab uyo mwanaume ana madem wengine wengi. Kwa kuona ivo niliamua kumfata ila kazingua tena kwa sababu zisizo na msingi na wakati hua anazingua kukubali tulikua seem nyeti na niliweza kumkiss na kufanya nae mambo mengi ya kimapenzi tena kwa iyari ila baada ya apo bado ananambia hatuwezi kua wapenzi. Nisaidieni ushauri nifanye nini jamani
Sitak mtu anijue kwa vyovyote vile ndomana nimeweka iyoKwa mujibu wa profile yako una miaka 16 n kweli??????
Kwaiyo unamiaka mingapiSitak mtu anijue kwa vyovyote vile ndomana nimeweka iyo
22Kwaiyo unamiaka mingapi
Sema usaidiwe