Jamani naomba msaada wa dawa ya kujizuia kufuza

Jamani naomba msaada wa dawa ya kujizuia kufuza

Puuu vizuri tumbo liwe empty. Sio unapuu hujamaliza unawahi kitu kingine.
 
Tafuta dawa ya kutoa gesi tumboni na mzigo ukikaribia nenda kashushe usikaenao sana
 
Yasikutokee Malawi maana ikikutokea mbele ya watu lazima uende jela kwa Sheria yao
 
Back
Top Bottom