Jamani naomba msaaa wa kuunganisha simu na computer

khaleedi said

Member
Jul 17, 2012
9
0
Naombeni msaada wa kuunganisha simu yangu na computer, sim yangu ni nokia 6300.nataka kutumia kwa ajiri ya kutumia internate, yaani naingiza bando katika simu na kuweza kuunga nisha kwenye computer, kwahiyo nitafanyaje?
 
khaleedi said Install Nokia PC suite kwenye computer yako kwanza (Uki google unaipata) ..Chukua cable ya sim unganisha kwenye PC af fata maelekezo
 
Last edited by a moderator:
khaleedi said Install Nokia PC suite kwenye computer yako kwanza (Uki google unaipata) ..Chukua cable ya sim unganisha kwenye PC af fata maelekezo
pia anaweza kuchagua blue tooth connection ktk hiyo Nokia Pc suit then ak-aenjoy kiaina but kwa mambo yetu ya downloadi hizi net haziko faster kama Modem mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom