Jamani naomba mnielewe tuu Kasinde mie loooh!!!

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Habari zenu mabibi na mabwana,
Kilichonitokea mchana huu nusu saa ikiyopita hadi sasa roho inanidunda....!!!!!
Nilikuwa naenda duka moja la vitabu liko mtaa wa Samora sasa wakati natembea kwenye jengo.la Benjamin Mkapa si nimekutana na yule kaka wa Nissan Patrol Crash nikamtizama na tukatizamana uso kwa uso loohh!! Wajua nini kilitokea tumeishia kutizamana tuu tukapishana huku mie mapogo ya moyo yakiwa juu. The nissan patrol guy alikuwa amebeba begi la mgongoni ni mweusi mrefu na aliingia ofisi za NSSF.
Jamani this nissan guy ananichanganya, what happens betwwen us? Ni kuwa tunaoneana aibu au tunaogopana?
Naomba mnielewe tuu na hizi crash maana sielewi mwisho wake ni nini, yaani from crash ya kwenye foleni za gari hadi crash ya kutembea barabarani looh!! Again he was walking alone and I was walking alone...
Hapa roho inanipwita......
 
next time when u see him just say hallo to him... mwambie miss chagga anakusalimia...
 
Na wewe unaboa sasa kila kitu unapost kuhusu huyo bwana ako! Basi uwe unapost na kutuwekea picha basi kila kitu ufanyacho kama unapokata kimba, kojoa, kuosha and the likes! Unatupa wasi wasi sana na ukomavu wako wa akili Kasinde! Au una frustration flani za kimahusiano huko nyuma basi utuambie!
Habari zenu mabibi na mabwana,
Kilichonitokea mchana huu nusu saa ikiyopita hadi sasa roho inanidunda....!!!!!
Nilikuwa naenda duka moja la vitabu liko mtaa wa Samora sasa wakati natembea kwenye jengo.la Benjamin Mkapa si nimekutana na yule kaka wa Nissan Patrol Crash nikamtizama na tukatizamana uso kwa uso loohh!! Wajua nini kilitokea tumeishia kutizamana tuu tukapishana huku mie mapogo ya moyo yakiwa juu. The nissan patrol guy alikuwa amebeba begi la mgongoni ni mweusi mrefu na aliingia ofisi za NSSF.
Jamani this nissan guy ananichanganya, what happens betwwen us? Ni kuwa tunaoneana aibu au tunaogopana?
Naomba mnielewe tuu na hizi crash maana sielewi mwisho wake ni nini, yaani from crash ya kwenye foleni za gari hadi crash ya kutembea barabarani looh!! Again he was walking alone and I was walking alone...
Hapa roho inanipwita......
 
Last edited by a moderator:
tumeishia kutizamana tuu tukapishana huku mie mapogo ya moyo yakiwa juu. The nissan patrol guy alikuwa amebeba begi la mgongoni ni mweusi mrefu na aliingia ofisi za NSSF.
Jamani this nissan guy ananichanganya, what happens betwwen us?

attachment.php
 
Attachments

  • ree.PNG
    ree.PNG
    34.9 KB · Views: 1,168
Habari zenu mabibi na mabwana,
Kilichonitokea mchana huu nusu saa ikiyopita hadi sasa roho inanidunda....!!!!!
Nilikuwa naenda duka moja la vitabu liko mtaa wa Samora sasa wakati natembea kwenye jengo.la Benjamin Mkapa si nimekutana na yule kaka wa Nissan Patrol Crash nikamtizama na tukatizamana uso kwa uso loohh!! Wajua nini kilitokea tumeishia kutizamana tuu tukapishana huku mie mapogo ya moyo yakiwa juu. The nissan patrol guy alikuwa amebeba begi la mgongoni ni mweusi mrefu na aliingia ofisi za NSSF.
Jamani this nissan guy ananichanganya, what happens betwwen us? Ni kuwa tunaoneana aibu au tunaogopana?
Naomba mnielewe tuu na hizi crash maana sielewi mwisho wake ni nini, yaani from crash ya kwenye foleni za gari hadi crash ya kutembea barabarani looh!! Again he was walking alone and I was walking alone...
Hapa roho inanipwita......
i see.....kuch kuch hota hai vs Lamujar de mivider=concu salfiric acid.

next time pray to pass him kwenye vichochoro virefu kama vile vya unga Ltd...you will know what to say!
 
Back
Top Bottom