kumpenda huko ikawaje ukamwacha mkuuMimi nampenda sana mpenzi wangu wa zamani wa kutiwa Agness.
Jamani Agness, haya ngoja ninyamaze maana naweza tokwa machozi hapa.
Mtoto ana tako laini yulee.
Na ule ufupi wake.
Macho yake ya kulegea.
Weupe wake (sio mkorogo).
Jamani Agness naumia mie.
Ngoja nitoke, maana.
Agness, naanza kulia.
Hiii, hiii, hiii, ih ih ih.
Huuuu, huuuuu, hiiiii, hiiiii.
Na kwikwi juu,
Kwiu, kwiu, kwiu, kwiu, kwiu
Maisha mtu wangu.kumpenda huko ikawaje ukamwacha mkuu
sometimes shit happens, sorry for you man!Maisha mtu wangu.
Kwahili sitofunguka, naona nitajiumiza
Thanks.sometimes shit happens, sorry for you man!
usimchukie aliyekubadilikia ghafla, pengine ameacha kupretend, huo ndo uhalisia wake, maisha lazima yaendelee mkuu!Thanks.
Duuuuude!
I wish she was my wife.
My love for her is unconditionally
Ukweli ni kwamba hakunibadilikia (ni tofauti kabisa na unavyodhania/unavyofikiria).usimchukie aliyekubadilikia ghafla, pengine ameacha kupretend, huo ndo uhalisia wake, maisha lazima yaendelee mkuu!
Mbaya zaidi anasifu tako tukumpenda huko ikawaje ukamwacha mkuu
hii sio kumbukumbu nzuri tuishie hapa ila pole sana kaka!Ukweli ni kwamba hakunibadilikia (ni tofauti kabisa na unavyodhania/unavyofikiria).
Labda kifupi nifunguke, masuala ya kuingiliwa mapenzi na Wazazi, Mama yake alikuwa poa, Mshua wake ndio kasheshe, mtoto ilifikia mpaka kutaka kujiua (kama nilivyosema sitofunguka, hapa nimekumegea kidogo).
Ila maisha yanasonga mbele
Tako ni kivutio kikubwa kwa marijali wengi.Mbaya zaidi anasifu tako tu