Jamani nakereka,..

there is no point of correction,.

Evrything is clearly understood!! And That's is it,.

usilazimishe watu waamini kitu ambacho kiko wazi ! We umeona wap mwanamke anavaa chupi nying et kisa yup period? Umefanya utafiti kwa wanawake wangapi? Ngoja wenyewe waje!
 
usilazimishe watu waamini kitu ambacho kiko wazi ! We umeona wap mwanamke anavaa chupi nying et kisa yup period? Umefanya utafiti kwa wanawake wangapi? Ngoja wenyewe waje!

hivi ile kitu inavyotiririka hata uvae chupi nyingi si lazima itatirika tu hadi kwa nje
 
usilazimishe watu waamini kitu ambacho kiko wazi ! We umeona wap mwanamke anavaa chupi nying et kisa yup period? Umefanya utafiti kwa wanawake wangapi? Ngoja wenyewe waje!

siyo suala la utafiti kwa wanawake wangapi mkuu,.

Hii nimeshuhudia kwa macho yangu mwenyewe wala siyo habari ya kusimuliwa,.

Unamkuta mwanamke kavaa tight bado ndani kavalia chupi hata zaidi ya moja,.


Kama unaendelea kubishia jambo lililo wazi kama hili we endelea wala hukatazwi,..
 
 
hata wadada hatuvai nguo nyingi hivi tutapumuaje...... hao wanaume watakuwa wakiona msichana lazima uume usisimame sasa kuzuia aibu wanaamua kuvaa nguo nyingi ili isionekane
 
Wadau mnazunguka saaaana katika hili.
Sababu kubwa ni moja tu. hizi nguo za ndani siku hizi ziko za bei tofauti. kuna zenu za mtu kachoka na za kwetu zilizosimama bei.
Sasa tumechoka kuvaa nguo ya gharama halafu hata mtu wa kuiona njiani hayupo hadi tukavuliane chumbani.
Halafu hata tukivuliana chumbani hakuna anaetangaza kuwa kaona vitu vya bei kali.

sasa wacha tuweke hadharani. SI MNAONA MMEONA!!!
 

Mimi navaa_chupi,boxer then suruali...hapo vip mkuu,..napo una kereheka tu...mmmmmh?
 

duh,. Kumbe!!
 
Mbona mumeweka wanaume wana ------ mazuri hivi, ni nani hawa?
 
Afadhali umesema weye mwanaume mwenzao, mje sasa mtoe majibu ya uvaaji huu kulikoni??

Huyu siyo mwanaume, soma bandiko lake vizuri. kama mwanume atakuwa mtoto siyo rizki.
 
Msitusingizie,wanawake hatujijaladii hivyo loh!hao wanaume wana lao jambo,labda wanapenda kuwa na hips
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…