Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
unajishaua nn wakati ulisoma magogoni
na nilikua nakuona!
hahahaaa!endeleeni msikate tamaaMpango mzima QT tu. mie na mzee mwenzangu mwenyekigoda wa enzi wa mnyama wa msimbazi tunasongesha mdogomdogo japo mwaka huu Ndalichako katufanyia fitna kwa kutuweka kwenye wale laki mbili na ushenzi, hatujakata tamaa
ah ah! magogoni ni size yenu, mie kichwa upepo niliishia form 2 enzi izo unapita kwa wastani
sidanganyiki ni wewe
nilikua nakuona na ukafeli vibaya coz
chabo ilidunda!mazombie walikuepo kitambo ujue!
ah ah ah! Ulinifanisha mie mbona nimeishia form 2
kijana mtukutu wewe!
ok!nimekubali we mshindi
kwanini shemeji angu unanipa ushindi?
si nimechoka kukubishia
imebidi nikubali yaishe
sasa jeShemeji yangu, mie siwezi kukubishia bana ni kweli nilikua magogoni nasoma public adminstration
sasa je
hapo sasa ushemeji utaimarika!