Mkuu kuna wanawake pasua kichwa. achana naye. wanajua kupepeta mdomo hao. mi nakuomba utulize hasira. vitabu vinasema tukae nao kwa akili.
Mkuu pale kurasini inabidi uwe makni unaweza kunyang'anywa dog kama ulimtoa kule. wale kikosi cha mbwa wanapoteza sana mbwa. be careful kama vpi nipm nikupe maujanja.