kwenye vigezo vyangu sijasema nataka handsome, baunsa ameenda hewani kwangu mm sio sifa hizooo.
NATA hujamwelewa huyo mkuu.. Yaani hachagui kazi ya mchumba wake mtarajiwa. Akiwa na duka sawa,ofisi fulani ya uhandisi au sheria ya kujiegemea,sawa...au awe ameajiriwa kwa wazungu,wahindi,wabongo,au serikalini,nayo pia hajali.
Mradi MPENDA KAZI...
wapendwa mm ni binadamu wa kawaida nimekamilika namaanisha nina viuongo vyote vya mwili (sio kilema) ni mwajiriwa serikalini miaka yangu 33, sijawahi olewa sio mzuri na wala sio mbaya vilevile. acheni maneno ya dhihaka watu tupo serious humu if ur not interested jus leav the thing kuna watu wanaohitaji.
Awe na umri wa 37-45, anafanya kazi haijalishi ameajiriwa au amejiajiri na awe mpenda kazi, muislam na anaipenda dini. awe na upendo wa bila kuangalia sura wala umbo la mtu.awe tayari kuoa si urafiki.

Mimi sifa zote ninazo ila nimetishika na kipengele hicho hapo kwenye bold. Vipi dada mbona hujiamini, au una sura na umbo kama la "tyson"?Awe na umri wa 37-45, anafanya kazi haijalishi ameajiriwa au amejiajiri na awe mpenda kazi, muislam na anaipenda dini. awe na upendo wa bila kuangalia sura wala umbo la mtu.awe tayari kuoa si urafiki.