Jamani nahitaji mume mwenye mapenzi ya dhati.

Jamani nahitaji mume mwenye mapenzi ya dhati.

Joined
Nov 8, 2012
Posts
12
Reaction score
1
Awe na umri wa 37-45, anafanya kazi haijalishi ameajiriwa au amejiajiri na awe mpenda kazi, muislam na anaipenda dini. awe na upendo wa bila kuangalia sura wala umbo la mtu.awe tayari kuoa si urafiki.
 
Subiri dada atakuja hapa muda sio mrefu
 
Awe na umri wa 37-45, anafanya kazi haijalishi ameajiriwa au amejiajiri na awe mpenda kazi, muislam na anaipenda dini. awe na upendo wa bila kuangalia sura wala umbo la mtu.awe tayari kuoa si urafiki.

ila mimi ni mkristo sifai hata kidogo? sifa zote ninazo.
 
"haijalishi ameajiriwa au amejiajiri "

Mh wewe unahatari unahitaji mwanaume trouser?
mbona wengi hao,
Subiri msululu wake.

Wanaume wa siku hizi wengi wao wanapenda kulelewa.

Halafu ni wasumbufu kinoma, atachezea feeling zako wee hadi utachemka!

Ok all the best
 
Mungu atakupa mwenye kheir na wewe,usisahau kupima H.I.V ukishampata dada...
 
NATA hujamwelewa huyo mkuu.. Yaani hachagui kazi ya mchumba wake mtarajiwa. Akiwa na duka sawa,ofisi fulani ya uhandisi au sheria ya kujiegemea,sawa...au awe ameajiriwa kwa wazungu,wahindi,wabongo,au serikalini,nayo pia hajali.
Mradi MPENDA KAZI...
 
Last edited by a moderator:
Unahitaji mume sio rafiki?sijakuelewa................sasa kitu gani kitawaunganisha kama si urafiki?
 
Mbona wewe mwenyewe huja jielezea sifa zako?au kuwa mwanamke tu inatosha?.
 
je ww una umri gani? maana usiweke vigezo vya mwanaume unaemtaka wakati ww hujajielezea hata kidogo, fungukaaaaa.
 
Awe na umri wa 37-45, anafanya kazi haijalishi ameajiriwa au amejiajiri na awe mpenda kazi, muislam na anaipenda dini. awe na upendo wa bila kuangalia sura wala umbo la mtu.awe tayari kuoa si urafiki.
Samahani dada kwani unauharaka kiasi gani ?
 
Awe na umri wa 37-45, anafanya kazi haijalishi ameajiriwa au amejiajiri na awe mpenda kazi, muislam na anaipenda dini. awe na upendo wa bila kuangalia sura wala umbo la mtu.awe tayari kuoa si urafiki.

Hapo kwenye RED nilidhani utasema Anamcha au kumpenda MUNGU, kumbe wewe unamtaka mpenda DINI. Hili nalo ajabu linafaa kupigiwa kura.

Hapo kwenye BLUE, mbona unawahi kujihami. SURA yako ni mbaya na umbo (FIGURE) sanamu la michelline nini!!!

Anyway subiri Waislam watakuja, ila siku nyingine ukiandika kuwa makini bidada.
 
wewe mbona umetoa vigezooo!!! acha n amwenzako atoe vyake, et asichague umbo wala sura!!!!!!!!!!!!!!
 
Unahitaji mume sio rafiki?sijakuelewa................sasa kitu gani kitawaunganisha kama si urafiki?

Bila kuanza na urafiki kamwe atazeeka bila kumpata huyo mume, na isitoshe msikitini hawachangamani kama wakristo, na akitoka nje amejifunika Hijab huku akibakisha macho tu. Sijui inakuwaje hapo kumpata mume.
 
Ngoja yatakuja maroboti humu maana binadamu lazima ataangalia maumbo na sura zenye mvuto mm naona nimetupwa kwenye vigezo ila ww mwenyewe hujaweka sifa zako
 
wewe binafsi una umri gani, kwa sasa unaishi wapi? unafanya kazi? umewahi kuolewa au la? una watoto au mtoto?
 
wapendwa mm ni binadamu wa kawaida nimekamilika namaanisha nina viuongo vyote vya mwili (sio kilema) ni mwajiriwa serikalini miaka yangu 33, sijawahi olewa sio mzuri na wala sio mbaya vilevile. acheni maneno ya dhihaka watu tupo serious humu if ur not interested jus leav the thing kuna watu wanaohitaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom