Jamani nafuta mchumba...

mkuu ajira za uhamiaji zimetoka!

changamkia shavu hilo kwanza halafu ndo uje na salary slip hapa ndo utawapata wengi tu!

watakuja wachumba, tena wenye kila aina ya sifa...!

shangaa lakini mimi sina kazi sina pesa... lakini.. qudadeki!!

Hahahahaaa, Mi nataka mke kwanza Bwana, kazi itakuja tu. Kama nimeweza kuishi kwa mission town muda wote huu, sitashindwa kulea mke. wadada, nasubiri applications. nimepokea kadhaa tayari. nafasi ni chache wahini jama...
 
Ungesema unatafuta wakukulea mana sikuhizi hawapokei wachumba mizigo.
 
nimeipenda hiyo 2, kwenye mabano. kwa hiyo suluhisho ni kumpata mwanamke mwenye gari, badala ya kuangaika nawe upate lako. ila vya bure ghalama kuwa makini.......
 
Ungesema unatafuta wakukulea mana sikuhizi hawapokei wachumba mizigo.

Mimi sio mzigo wewe, shika adabu yako. ninastrategy za hatari, lazima maisha yawe supper. naomba usiwavunje moyo wanaohitaji kuwa nami....
 
nimeipenda hiyo 2, kwenye mabano. kwa hiyo suluhisho ni kumpata mwanamke mwenye gari, badala ya kuangaika nawe upate lako. ila vya bure ghalama kuwa makini.......

Yeye anaanza mimi ntanunua tena VX V8.
 
Mkuuuu kajipange upya uje kivingine acha kuonyesha uvivu wako wa kupembua mambo na hyo degree yako ya Sociology haijakusaidia kabisaaaaa!!una shida na unapresent shida yako kimizahazaha!!!!inshort acha ujinga b serious your a gentlemen tena msomi bt sijajua umesomea chuo gani isijekuwa vile vyUO vya ...."Komptyuta na kifaransa ni bure na AJILA NI YA UHAKIKA WAHI MAPEMA"
 
Hahahahaaa, Mi nataka mke kwanza Bwana, kazi itakuja tu. Kama nimeweza kuishi kwa mission town muda wote huu, sitashindwa kulea mke. wadada, nasubiri applications. nimepokea kadhaa tayari. nafasi ni chache wahini jama...

mkuu nitumie pm waliokutumia pm! si kuna watakaochujwa eenh!

fanya mishe dogo!
 
Nikirudi kijijini
then, what? Does it help? kijijini ni kwa wasiosoma...acha mambo
yako...

better aliyeko kijijin though hajasoma lakin anakitu cha muhimu anafanya, kuliko we upo mjini na elimu yako lakini unasubiria vya bwerereee!
 
Nilikuwa nakupa heshima yako tu, mzima wewe? Nimekumiss.

haya ahsante mtoto mzuri eenh! mengine sasa tusiongelee kwenye uzi wa watu! si unajua lakini?

shuka hapo chini kwenye kakitufe ka send pm, sawa mamii?
 
Kama kawa ntakuja fasta tu! Si unajua harusi itakuwa kwa hisani ya jf!
 
haya ahsante mtoto mzuri eenh! mengine sasa tusiongelee kwenye uzi wa watu! si unajua lakini?

shuka hapo chini kwenye kakitufe ka send pm, sawa mamii?

Unaogopa kumwaga mchele kwenye kuku wengi??? Ngoja nikuje huko gizani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…