Jamani nafasi za magereza lini

KIEMBE

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
109
Reaction score
11
Habari zenu wadau wa JF!
Ndugu zangu naomba tujuzane juu ya ajira za jeshi la magereza maana tumesikia ni mwezi huu sasa hata hatujui information zake zinapatikana wapi tusije shtuka mambo yamekwisha kwahiyo wadau tupashane habari.
Asanteni!!!!!
 
Nilisikiaga mwez 8,lakn mpaka sasa wa 10 patupu,mi mwenyewe nasubiria kweli kaka,kitaa kugumu.
 
Habari zenu wadau wa JF!
Ndugu zangu naomba tujuzane juu ya ajira za jeshi la magereza maana tumesikia ni mwezi huu sasa hata hatujui information zake zinapatikana wapi tusije shtuka mambo yamekwisha kwahiyo wadau tupashane habari.
Asanteni!!!!!

Bado mkubwa hata mm kuna jamaa anazifuatilia, lakini kweli bongo msoto hata magereza siku hizi mnaulizia
 
Nibora mkawe wafungwa wote ila uwe na uhakika na tumbo
 
Ok pamoko mi pia nafatilia kwa ukaribu ila nivizur kuwauliza na wengine
 
Nafas mwezi huu ndugu nimeambiwa na mtu wa karibu sema lazima tuuliziane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…