Jamani nafasi za jeshi lini

Makunga

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
771
551
Mimi ni graduate wa sociology ila napenda sana jeshi,kwa anaejua intake zao zinakuwaje naomba anijuze wakuu.
 
Safari hii hawajachukua mtaani.waliokwenda mwezi uliopita ni wale waliojiendeleza wakiwa humo jeshini.Subiri mkuu zikitoka mwakani utajua tu.
 
Jeshi wamefungiwa ajira ndugu yangu, hawaajiri sasa hivi, serikali haina pesa. haujasukia kiongozi? meli inazama.
 
jeshi wamezuiwa kuajiri,ka vp jimwage police,magereza,makosa ya jinai.over
 
hamana lolote, ati ooosh, napenda sana jesh, sijui niniii.. we sema ajira kitaa zimebuma, so naangalia alternative jeshini. na kama huna kimemo sahau kupata kaz jesh
 
ha ha ha ha ha, ma bro . ajira zimekuwa ngumu kila kijana anaweza jeshi as if ni ajira rahisi pia.
na huko jeshi ni kugumu sana kuingia, especially kama unatoka familia zetu izi .
any way kama unania na jeshi nenda kaserve miaka miwili JKT ndo utaingia kirahisi zaidi , but tambua JKT hakuna mshahara kuna posho tu ..
Goodluck
 
Then baada hapo intake nyngne ni lini? Coz otherz tunatarajia kumalza chuo mwez wa 6.
 
Back
Top Bottom