Wadau..kwa muda sasa hatuelewani na mke wangu wa ndoa. Kila nikiwasiliana nae...anakua kama hapendi hivi. So nikaamua kuweka mashushu wamfuatilie kwani chuo anachosoma mimi pia niliwahi kusomea huko...so ninafahamu mazingira ya huko. Mrejesho wa taarifa za mashushu hao. .kila mmoja kwa wakati wake. ..wakanitumia picha na kunihakikishia kua mke wangu anagegedwa na mhadhiri wa chuo hicho. Na sometimes huyo mhadhiri hua anaenda kulala nae kwenye chumba nilichompangishia.
Nataka nikawafumanie....nipate uhakika zaidi.
Maoni na ushauri tafadhali
Nataka nikawafumanie....nipate uhakika zaidi.
Maoni na ushauri tafadhali