Jamani NACTE wananiambia 'Update Qualification', hii maana yake nini?

jimmyb

Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
20
Reaction score
3
Jaman mimi ni diploma holder nime-aply kwenda degree ,,NACTE walishafanya tathmini ya vyeti vyangu na kuniambia "requred qulification found"

Lakin cha kushangaza leo nakuta wananiambia "update qulification " na inagoma ku update hii maana yake nin jaman????
 
Acha kuamsha mambo yaliyo lala mkuu kama mara ya kwanza kila kitu kilikuwa sawa acha acha acha kuhangaika tena..... now huwez ku-update system ipo kwenye selection.
 
sawa bro
 
Dah nadhan selection tusubir mpaka 2nd round iishe tu maana hyo tar 12 tushaisahau
 
Bro tupo wote wala usihofu maana hata Mimi wameniandikia hivyo so cha msing tulia usiichokonoe maana system hii ni ya ajabu plzzz be patient and wait 4 selection
 
kama hujaupdate info zako hadi sasa hivi ndo itakula kwako, nenda kwenye profile halafu update, utaona mwaka 2016 upo
 
mimi naona hii mifumo yao imeingiliwa na virus maana haieleweki mtu unawza kufa presha bure yaan du
 
Ni bora uwaone nacte Kama upo karibu mana mi nilikua Kama ww nanikaenda nacte nashukuru MUNGU walinilekebishia kumbe ilikua niwao wenyewe ndo wenye matatizo,
 
Tueleze tatizo lako lilikuwa nini na wakasolve vipi ili nasi tujue kama tunahitaji kufika hapo nacte
 
Jaman mimi ni diploma holder nime-aply kwenda degree ,,NACTE walishafanya tathmini ya vyeti vyangu na kuniambia "requred qulification found"

Lakin cha kushangaza leo nakuta wananiambia "update qulification " na inagoma ku update hii maana yake nin jaman????

Kama tatizo likiendelea na wewe una uhakika umeshaapload hizo nakala,chukua muda wako kuwafata nacte bila shaka watalitatua.
Na kama haupo dar,unaweza kumwagiza ndugu yako wa karibu kabisa ambae utampa taarifa zako muhimu ili akalishughulikie.
MUHIMU: Unatakiwi kufika mapema sana katika ofisi zao maana kumekuwepo na ongezeko kubwa la wanafunzi wenye shida mbalimbali.
Nawasilisha!
 
Kwa wale wa diploma wakati wa ku upload qualifications kuna sehemu ya kuattach cheti pamoja na transcript , kama una cheti tu hauna transcript ukiattach na kuchagua programme mpaka mwisho wa application inaweza kuleta shida kwenye selection maana cheti hakija state GPA wala CLASS . msaada tafadhali kwa wenye uzoefu. Maana mwisho kabisa kwenye Admission status kwenye NTAL6 Qualification inarecommend kuwa WAITING FOR EVALUATION . Msaada tafadhali kwa wazoefu
 
Ni bora uwaone nacte Kama upo karibu mana mi nilikua Kama ww nanikaenda nacte nashukuru MUNGU walinilekebishia kumbe ilikua niwao wenyewe ndo wenye matatizo,

Sifanyi hiyo kazi asilan abadan
 
Kwa wale wa diploma wakati wa ku upload qualifications kuna sehemu ya kuattach cheti pamoja na transcript , kama una cheti tu hauna transcript ukiattach na kuchagua programme mpaka mwisho wa application inaweza kuleta shida kwenye selection maana cheti hakija state GPA wala CLASS . msaada tafadhali kwa wenye uzoefu. Maana mwisho kabisa kwenye Admission status kwenye NTAL6 Qualification inarecommend kuwa WAITING FOR EVALUATION . Msaada tafadhali kwa wazoefu
Kama cheti chako hakijastate GPA huwa nacte wanaicalculate wenyewe so wala ucjali.
Kikubwa jaribu na wewe kucalculate gpa yako ili na nacte nao wakiikokotoa kusiwe na mpishano
 
Kama cheti chako hakijastate GPA huwa nacte wanaicalculate wenyewe so wala ucjali.
Kikubwa jaribu na wewe gpa yako ili na nacte nao wakiikokotoa kusiwe na mpishano
Haina haja ya transcript ? Maana cheti tu ndo nimeupload sehemu zote mbili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom