Kumekuwa na uvumi ya
kuwa eti interview kwa post tatu ambazo deadline ilikuwa tarehe
18/09/2013 zimeshaaza tangu tarehe 04/11/2013, naomba ufafanuzi juu ya
taarifa hii na wametumia vigezo gani hata wasimuite hata mmoja kutoka
MZUMBE UNIVERSITY?
nawatakia kila la kheri...