Jamani muwe serious basi

Jamani muwe serious basi

Mi yaliwahi nikuta makubwa mkuu acha tui nishasimulia vya kutosha...

Kuna watu wana id za kike ila kiuhalisia ni wa kiume na kule love connection wapo wanatafuta wanaume """NATAFUTA MUME AWE DINI YOYOTE"""
Ukienda DM anakuchatisha kibabe unajua mmmh huyu dume kabisa mwenyewe unajiengua kmmk
😂😂😂😂😂😂
Wanazingua mkuu
 
Mashoga hawo ukilikutaniza linyandue tu maana yashakuwa mengi👶🧭
 
Umeanza lini kunikosea heshima??
Ngoja nimuite wizo akufunze 😹😹😹
Mmmmmh kwani weee ni momyla au ....
Jamn kama niweww nisamehe sasa unaposema umuite wizo ni kama unataka nikimbie uzi plzzzzz sirudii tena 🙏 🙏 😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom