Aisee!
Ndoa zina majaribu!
Labda mtoto wa kike unakuwa mkavu, mimacho kodo!
Jirekebishe.
Aisee!
Ndoa zina majaribu!
Labda mtoto wa kike unakuwa mkavu, mimacho kodo!
Jirekebishe.
ddk 20 mbona nyingi sana?
unataka kumuua mwenzio?
Angekuwa anakuogopa basi hata mtu mzima asingekuwa anasimama wakati wa chakula cha usiku,inawezekana kuna tatizo kati yenu na kila mwenzako akilifikiria basi hupoteza hamu ya tendo,kaeni mzungumze kwa kina kuhusu suala hilo na toa kabisa dhana ya kwamba yeye anakuogopa na hapo mtaweza kumaliza tatizo.
khaaa sana sasa hapo mtakuwa mnafanya nini?We Smile,dk 20 ni nyingi?