Jamani muda wa sala!!!!

Jamani muda wa sala!!!!

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,002
Reaction score
72,284
Sala ya walevi walipokutwa baa, ' Baba yetu uliye Breweries, bia zako zikufikie, bei yake iwe rahisi hapa baa, kama huko kiwandani, utupe chupa zetu za pombe kila siku, utusamehe sisi walevi wote kama tunavyowasamehe na sisi mabaamedi wanaotudhulumu chenji zetu. Usitutie mitaroni. Bali utufikishe nyumbani salama. Kwa kuwa bia zote ni zako, na wine, konyagi, ulanzi, mnazi, mbege, na hata viroba ni mali yako, hakuna anayeweza kutuzuia kunywa hata milele. AMINA.
 
Ahaa Dinazarde! Kwa post hii nshakufahamu! Hujambo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom