jamani mtapasuana makagare....!!

tunashindwa kutumia hizi asset vizuri!

Mkuu sisi ndio wa hivyohivyo tu na cjui kwanini tunaendelea kua hivyo ingawa kimsingi hatuna sababu za msingi za kutokufanya mabadiliko aisee dah! inji inarasilimali watu wenye vipaji lukuki, ardhi yenye rutuba, misitu madini mito maziwa vivutio vya kila aina bado eti tunajiita ni masikini ...kudadadeki hili ndio madhara ya kumpa urais mtu aliyetoka kwenye jumba la sanaa Bwagamoyoooo aisee...
 
sifa zinaua siku hizi..nasikia sifa ni za pili kwa kuu Tanzania.
 
Rizki halail inaweza kupatikana kwa njia nyingi.
 
mmmmhhh kazi kweli kweli :lol: :juggle: job true true..
 
Kwani hapo ni nini cha ajabu? Au mpaka muone wachina wanacheza sarakasi ndio muamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…