Kwahiyo umejipanga kumdanganya kwasababu unajua rafiki yake lazma atamwambia au?Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,
Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,
Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Ndiyo hapo sasa lazima yule amwambieKwahiyo umejipanga kumdanganya kwasababu unajua rafiki yake lazma atamwambia au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatangaza Biashara yako Je Tigo unatoa?Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,
Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,
Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Ngoja tusubiri hili jibu.Alikupa kilevi mkafanya. Huko lodge alikupeleka baada au kabla ya kilevi
Sent using Jamii Forums mobile app
BaadaAlikupa kilevi mkafanya. Huko lodge alikupeleka baada au kabla ya kilevi
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada
Ni kama kichwa kilivojielezeeni
Nimepata mchumba anaishi Denmark , nauliza je maisha ya kule yakoje?? Maana tukifungs ndoa naondoka,
Lakin mtihani mkubwa nilionao ni kwamba inabidi niufiche ukweli huu huyu bwana nayeishi naye asijue, nimenunua ka simu kadogo kakuwasiliania na mtanzadanish
Chai kashindwa kuikorogea vizuri !Alikupa kilevi mkafanya. Huko lodge alikupeleka baada au kabla ya kilevi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Vipi yule mume wako ambaye alikuwa hajafanyiwa tohara mlishaachana???
Huyu kikulacho tuu,.hana lolote..Kwa hiyo unahofia tu mtaji!???
Hiyo dhambi huihofii???
SI ajabu ulitengeneza mwenyewe mazingira ya kushawishiwa
Too sad,,nimeumia Sana...utubu na uache,,
Dada yako!????[emoji22]aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app