tulia mkuu wala usijal hapo utachaguliwa soon
mimi niliandikiwa hivyo then baadae wamenichagua
yaan kama hawajakupa option ya machaguo ujue huluhusiwi kufanya chochote so hapo umekidhi vigezo na watakuchagua toa hofu ila uwe unaangalia mabadiliko ktk profile yako mara kwa mara
nakutakia mafanikio mema