Alexander McQueen
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 186
- 41
Duh..hiyo mpya.Ninapoweka index no na paword nakuntana you have not selected nikiclick naona hicho chuo
Unaonekana uliomba chuo cha ualimu na vyengine .Ualimu bado amjachaguliwa ila kox nyengine auja chaguliwa ndo urudie kuombaNinapoweka index no na paword nakuntana you have not selected nikiclick naona hicho chuo
Kwenye profile hakuna option ya kueditUnaonekana uliomba chuo cha ualimu na vyengine .Ualimu bado amjachaguliwa ila kox nyengine auja chaguliwa ndo urudie kuomba
hapo mjomba hujachaguliwa kuna rafik yangu jana nilimfungulia ikaja ivo..yeye hakupata division 3 wala GPA 1.6 form four that why akaachwa ndio leo ameapply upya kwa kuedit profile na kubadilisha machaguoJamani msaada please mwenye uelewa hapa,
Ninapoweka index no na paword nakuntana you have not selected nikiclick naona hicho chuo
View attachment 393992View attachment 393992View attachment 393993View attachment 393994
Ndiojamani kuna alye apply mwalim nyerere kigamboni
Mimi nilikuta selected but chini wameandika hivyo hadi sasa profile yangu haina option ya kuedithapo mjomba hujachaguliwa kuna rafik yangu jana nilimfungulia ikaja ivo..yeye hakupata division 3 wala GPA 1.6 form four that why akaachwa ndio leo ameapply upya kwa kuedit profile na kubadilisha machaguo
Wanavyokuambia next selection wana maana ya kuwa ufanye machaguo upya kwa kuelewa vigezo vya koz husika
dirisha limefunguliwa tarehe 5 jana mpaka tarehe 15 mwez huu
kafanye upya machaguo
Inabidi wakuambie "you have been selected" ndio angalau utakua na uhakkaMimi nilikuta selected but chini wameandika hivyo hadi sasa profile yangu haina option ya kuedit
Nifanyeje sasa coz options ya kuedit sinaInabidi wakuambie "you have been selected" ndio angalau utakua na uhakka
it's means haujachaguliwa fanya selection ya chuo kingine
Niliisha sema haikubali kufanya chochoteit's means haujachaguliwa fanya selection ya chuo kingine