Jamani msaada nina pc ya latitude 620 okoeni ipone

Jamani msaada nina pc ya latitude 620 okoeni ipone

tqr

Member
Joined
Jul 7, 2017
Posts
61
Reaction score
22
PC yang nimezima nikatoka kuludi kuwasha inawaka lakini haidisplay na nimefungua hata fen haizunguki naombeni msaada
 
Ni Dell hiyo@ ya kwangu nishaipotezea .....mabaya hayo
 
hapo peleka Kwa fundi tu maana yamkini kioo ndo kimeungua na short au waya za kupeleka picha kwenye kioo ndo zimekaa vibaya
 
Hiyo pc kama una ujuzi kidogo na computer ni kitu kidogo sana ila kama huna ipeleke kwa fundi mkuu hiyo inaitaji hot air ya kuihiti gpu yake baada ya kuihiti na hot air unaicha inapoa unarudishia kila kitu chake maana ni lazima uigungue ndani ukisharudisha kila kitu basi itawaka ila kubwa zaidi fungua feni yake na kuisafisha hua inaweka uchafu ndani inachindwa kupooza na kusabibisha over heat ndani na hiyo inatumia gpu ya amd
 
Back
Top Bottom