Jamani msaada kuhusu HESLB

Jamani msaada kuhusu HESLB

Clemoo

Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
72
Reaction score
16
naombeni mnisaidie hivi izo loan allocations ni kwa form six tu au na wale diploma holders pia wamepata, manake mi na marafiki zangu tu ni diploma holders tumeomba priority courses na bado tumekosa..
 
hapo ni kwa form six na dip holders😛lane:
 
Back
Top Bottom