😅😅Hivi kwann nyie wanawake mkitupa haki yetu mnapenda kusema mmetuonea huruma.
Hii kitu sijawahi elewaga, kwaio sisi kila siku mnatuonea huruma sio?? unakuta demu anakula kwako, hela ya vocha unampa, matatizo ya hapa na pale unamsaidia, alaf akikupa haki yako anasema amekuona huruma, kivipi?
Demi Donatila naombeni mnisaidie aisee, kama hamna majibu waiteni wenzenu.
Kwahiyo alitaka kumtunuku mwanaume mwenzie bahati mbaya mtunukiwaji shetani akamkataa?Kwa bandiko hili, nimejiridhisha pasina shaka kuwa wewe ni dume linalopandwa!
Malizia kabisa kwa kusema wanauza tuuuu.... Kugawa unamaanisha hela haihusiki?😅😅
Ni kwasababu tangu zamani iliaminika kwamba kile kiungo chetu ni cha thamani, kuamua kumpa mtu means unemthamini sana ndo maana huwa tunaona kama vile ni zawadi tunatoa.
Ingawa siku hizi haichukuliwi hivyo tena naona. Watu wanagawa tuuuuu
Wee jamaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Next time jaribuni kuingiza kama tambi[emoji1787]
Huenda hali ya hewa ya feri ilimkonga kwenyewe utosi wa pua Saikolojia ya mahaba ikazimia na network ikakata kabisa akaanza kutafakari dah!!Jamani wanawake mkuje Mara moja.
Niko na mahusiano na Mwanaume mmoja mwezi wa sita now ila hatukuwahi kufanya chochote.
Wiki iliyoisha baada ya kumpa ahadi nyingi mpenzi wangu ,nikasema ngoja nimtunuku kwa kumhurumia mpenzi wangu.
Jamani kilichonikuta moyo wangu umeumia sana mambo ni mengi, kufupisha story tulipofika room jamani maskini mkaka wa watu ameshidwa babu kusimama.
Nimetumia mbinu zote imeshindikana.
Nimeshindwa kuandika mengi .
Ila nimejiuliza inakuaje Mwanaume una kila aina ya ugentlemen ila babu ndo asimami jamani
Kuliko kugawa bure hovyo hovyo, bora kuuza. Hakuna utofauti wowoteMalizia kabisa kwa kusema wanauza tuuuu.... Kugawa unamaanisha hela haihusiki?
🤣🤣🤣😂😂Jf ina mafala wengi sanaaaNext time jaribuni kuingiza kama tambi[emoji1787]
Wewe jamaa pepo yako iko kidimbwi..... .
Hahahaha!. Nimecheka sana Mkuu.
Waambie kabisa waungwana, siyo tambi za kula. Ni tambi za kibatari.
Unaifinyanga huku unalazimisha iingie kwenye mdomo wa kibatari.
JF ni tamu sana haki ya Mungu.
Hapa umenena mama, hii kweli.Ni kwasababu tangu zamani iliaminika kwamba kile kiungo chetu ni cha thamani, kuamua kumpa mtu means unemthamini sana ndo maana huwa tunaona kama vile ni zawadi tunatoa.
Product yeyote Inaongezeka thamani endapo supply ni ndogo na demand ni kubwa, na kinashuka thamani endapo supply ni kubwa na demand ni ndogo.Ingawa siku hizi haichukuliwi hivyo tena naona. Watu wanagawa tuuuuu
Hilo nalo neno mkuu....wakalitazame...Mwili wako vipi msafi,vipi chini kwa bibi kunanukia au kunanuka🏃🏿♀️
Hii ni dhambi ya ujingaqNext time jaribuni kuingiza kama tambi[emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣Next time jaribuni kuingiza kama tambi[emoji1787]