Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Nipo ndio... Kheri ya mwaka mpya. I love u sana japo ulinisababishia ban
Unatafuta nini hapa we Chimbuvu? Marry Hunbig njoo huku pembeni nikuambie kitu, huyu mkongo ataanza kukusumbua sasa ivi maana kaisha Chezea cha mbavu.Mery christmass ulienda kuhesabiwa?
Ok, usijali Marry Hunbig , mi natakiwa kulala sasa ivi maana natakiwa ubongo wangu upate mda mwingi wa kupumzika....
Unatafuta nini hapa we Chimbuvu? Marry Hunbig njoo huku pembeni nikuambie kitu, huyu mkongo ataanza kukusumbua sasa ivi maana kaisha Chezea cha mbavu.
Asante Marry Hunbig , ila nilikua nimekukumbukaaaaaa aiseeee nasubiri Kama dk 39 ivi then nilale maana najua nikilala nw ikifika saa 6 nitaamka. Ebu nipe story za huko ulipo
Kweli ni jambo jema kumshukuru Mungu, kwani bila mapenzi yake tusinge kuwepo hapa mda huu, kuna wenzetu nw wapo mahututi vitandani, mwaka 2013 umejiandaaje nao ndugu.Hata mimi nilikumiss sana aisee...Huku kwetu ni kwema tunamshukuru Mungu anayeendelea kutupigania kila iitwapo leo.!
Hata mimi nilikumiss sana aisee...Huku kwetu ni kwema tunamshukuru Mungu anayeendelea kutupigania kila iitwapo leo.!
Hata mimi nilikumiss sana aisee...Huku kwetu ni kwema tunamshukuru Mungu anayeendelea kutupigania kila iitwapo leo.!