Hahaha hizo ela unachuma kwenye mti?Mpe hela tu.Wewe mpe hela tu.Nakwambia we mpe hela tu utaona...
huwezi lazimisha maji kupanda mlima..kikubwa piga chini endelea kusaka pesa..atakutafuta mwenyewe ukiwa vizuri..mtoto wakiume hutakiwi kulialia na mapenzi.Hakuna namna kweli bro
Hahaha hizo ela unachuma kwenye mti?