Jamani mlioenda bagamoyo kukimbia.....

Jamani mlioenda bagamoyo kukimbia.....

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Heee...jamani ni balaa....nyie kidada wa mwenge, msasani, oysterbay. n.k....mlitaka kuniua kwa presha...Ben ilibidi nikaombe kizibao cha msalaba mwekundu, kwi.kwi,kwi....aisee mnamakusudije? kwa kweli nilishindwa kukimbia.
 
Yalikupata yapi sasa mbona husemi au bado unataka kufa
 
Pole sana mkuu taarifa yako niliipata japo nipo mbali tunashukuru mungu faint haikua kali sana
 
Hamzoei tu hiyo mitego ya kila siku

Ntazoea wapi Leomimi kila siku mnazidi kuwa watamu tu....au kuna dawa ya mchina ya kuongeza utamu imeingia nini...maana.
 
Last edited by a moderator:
Heee...jamani ni balaa....nyie kidada wa mwenge, msasani, oysterbay. n.k....mlitaka kuniua kwa presha...Ben ilibidi nikaombe kizibao cha msalaba mwekundu, kwi.kwi,kwi....aisee mnamakusudije? kwa kweli nilishindwa kukimbia.

Pole sana........

058.jpg
 
Pole sana........

058.jpg

Alalfu huyo mtetea anaonyesha alikua ana nyege kweli....angalia hapo anaona watu wote hao wanamkimbiza hata ajigusi ...yeye anafikiria ni jogoo linamkimbilia limpande...hehehhee...angalia yuko kama anataka kuchuchumaa vile..kwi.kwi.kwi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom