Jamani mkumbuke kwamba Mungu yupo

malisoka

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,860
2,638
Nimesoma news kutoka Nchini kenya kwamba wale wasiamini kwamba Mungu yupo wanataka neno Mungu katika wimbo wa Taifa lao litolewe.

Ni kweli kila mtu ana haki ya kusema na kuamua jambo akiwa huru kabisa katika nafsi yake.

Lakini kuna mambo mengine ni lazima ufikirie kabla ya kusema au kuamua kusema.

Katika mambo yote tafadhali tusimkufuru Mungu huyu aliyetuumba mimi na wewe.

Uzuri karibu dini zote kubwa Tanzania tunaamini Mungu mmoja yule aliyeumba Mbingu na Nchi na Kuniumba mimi na wewe.

Usipende sana mambo ya kuigaiga au mkumbo hasa yanayohusu vitu ambavyo vipo nje ya uelewa wako/uwezo wako.

Mungu yupo, anasikia, anasema na anatenda, alafu ndiye anayetupa uhai.

Asanteni sana.
 
Sauti ya wengI ndo sauti ya mungu mwenyezi! Sasa hao wachache weka mbali na jamiii!! Maaana hao wanaitwa masheitwaan aka vinasaba vya majini!!
 
Back
Top Bottom