Jamani mkome kumuandama Makamba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mkome kumuandama Makamba!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Papa D, Mar 26, 2011.

 1. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Makamba anafaa sana kuwepo kwenye hicho cheo alicho nacho ili asaidie kuiondoa haraka ccm madarakani. Kwa sababu hiyo NAAMURU RASMI KWAMBA wana JF muache kumuandama isipokuwa mchocheeni zaidi ili apaze sauti yake itakayosaidia kupata ukombozi wa kweli!!!

  NAWASILISHA!
   
Loading...