Jamii nisadieni....
sasa kama we mwenyewe hujui unatosheka na nini mtu mwingine atajuaje!
manake umekuja tu hapa na jamani mke hanitoshelezi
jamii nisaidieni!
funguka bwana !
akutoshelezi hakufuniki shuka?hakutoshelezi anaimba kwa sauti ndogo
hakutoshelezi anakupa ugali wa mtoto?
KWA STYLE HII ya post hata we mwenyewe hujui unatosheka na nini!
Hahahah haya bana leo naona unatema sumu!
sasa kama we mwenyewe hujui unatosheka na nini mtu mwingine atajuaje!
manake umekuja tu hapa na jamani mke hanitoshelezi
jamii nisaidieni!
funguka bwana !
akutoshelezi hakufuniki shuka?hakutoshelezi anaimba kwa sauti ndogo
hakutoshelezi anakupa ugali wa mtoto?
KWA STYLE HII ya post hata we mwenyewe hujui unatosheka na nini!
Mh Kamanda hakutoshelezi kivipi, hakupi, au anakupa lkn sio tamu, hajishughulishi hebu dadavua basi tukupe maujuzi ya kumtekenya

umeona enh?Hahahahahahah!
Hata Mimi Nashangaa...labda Mkewe Hajazi Msosi Jamaa Akashiba!!
JF Inavituko!!
Mh Kamanda hakutoshelezi kivipi, hakupi, au anakupa lkn sio tamu, hajishughulishi hebu dadavua basi tukupe maujuzi ya kumtekenya
wewe ni dini gani? Kuna deen ya mutume inaruhusu kuoa tena .. For example ronaldinyo wa magogogni
ujinga huo hakutoshelezi kivipi funguka usaidiwa
funguka upate misaada wagaba acha kuongea nusu na robo bana