JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,383
- 9,844
Duuh kene medical field hii gari inahitaji dialysis[emoji174][emoji119]Kiukweli leo nimesikitika sana baada ya kukutana na gari iliyoingia nchini mwaka jana(2021), Ni zile namba D za mwisho mwisho lakini tayari ina majanga makubwa mno...
Nini kimekukuta mzee ?Kaka umenena. Huwa tunasingizia barabara mbovu lakini barabara inahusiana vipi na kuharibika hasa vitu vinavyohusiana na umeme
Au engine? Shida ni service za magumashi na vifaa vya kuunga unga. Nimenunua gari used bongo ila sitakuja kurudia tena huo upuuzi.
Ukweli usiopingika. Nina toyota moja tangu 2014 mwishoni imported from Japan mbaka leo huwa ni service tu labda control box nilibadili 2018 basi ila ni mwendo tuuu....toyota ndio gari zetu ngozi nyeusi hazsumbui sana....hata wenye pochi nene hizo british na germans znawasumbua sanaa tuuToyota was made for tanzania
Nini kimekukuta mzee ?
Nadhani hata ufundi pia kwetu huku bado mafundi sio wale reliable sana hata hivo hizo gari kama zimeanza sana kuingia miaka hii kuliko zamani ukilinganisha na vitu vya mjapani🤔Porsche ni moja ya wajerumani reliable sana.
Ukiharibu hapo basi hao kina BMW utawaua kesho yake.
correctlyMigari ya kizungu Porsche, bmw, Audi, Benz nakaa nayo mbali kabisa.
Ni pasua kichwa sana
Kiukweli leo nimesikitika sana baada ya kukutana na gari iliyoingia nchini mwaka jana(2021), Ni zile namba D za mwisho mwisho lakini tayari ina majanga makubwa mno.
View attachment 2462509
Gari yenyewe ni Porsche Cayenne na ina Kilometre hazijafika hata laki, lakini tayari ilishaua control box (DME control unit) na wire zishakatwakatwa (Labda hii ndio sababu).
View attachment 2462512
Tumezoea kwenye gari zingine za kijerumani Control Box zinakufa na maji, mtu anaenda kurekebisha gari, ikishafunguliwa sehemu ya Control box wakirudisha hawarudishi na raba au wanarudisha vibaya. Baada ya muda kwisha habari yake.
Lakini hii gari control box yake iko sealed sana. Sijui waliipigisha shoti. Sijui.
Gari inapendeza nje bodi halina hata mkwaruzo ila faults za kutosha baada ya kuifanyia diagnosis. Zaidi ya fault 60.
View attachment 2462514
Kusema ukweli shida siyo gari, Ila shida ni sisi ngozi nyeusi. Kuna mtu yupo humuhumu JF ana Porsche Cayenne namba C lakini hajawahi pata major issues.
View attachment 2462519
Kwa Diagnostic na Repair ya gari ndogo kampuni yoyote 0621 221 606 au 0688 758 625.
Nipo Dar.
Kwa kweli nimekuwa suprized na nilichokikuta kwenye hiyo gari.Porsche ni moja ya wajerumani reliable sana.
Ukiharibu hapo basi hao kina BMW utawaua kesho yake.
Hiyo gari iña interior kali sana.Porche wana dashboard kama za ndege..