"heula" ndio nini, na mafuta yepi unaongelea? ya samaki, ya kupikia? ya taa, ya dizel au ya petroli? Kama ya kula, mtaani kwetu yapo, wahi kabla hayajaadimika, kama ya taa, kituoni Morogoro Rd na Swahili (faya) yapo, na kama ya gari yapo hapo pia, ni muda nimemtuma mtu akanijazie kwenye gari yangu na nimemuagiza kidumu cha mafuta ya taa. Sijui unaongolea mji upi, Dar au kwingine?