Jamani mizinga (kuchuna) inapunguza mapenzi

Yule ni "mwanaume" sio "wa kiume" bwana, the best husband in the world, i love my Manga ML more than the word itself.
Amen Amen, na mimi nyota yangu itawaka kama yako[emoji133] [emoji133] [emoji133]
 
Last edited by a moderator:
Ha Ha Haa Tusio Na Wapenzi Tutakoma Mwaka Huu Ni Wa Malofa Ma Ma Ke
 
Ha Ha Haa Tusio Na Wapenzi Tutakoma Mwaka Huu Ni Wa Malofa Ma Ma Ke

Hahaaaa!! Si ndio uamuzi uliochukua wa kutokuwa na mpezi, so unakomaje kwa mfano?
 

mkuu be a man... usipelejeshwe na hao malaya , hapo hakuna mapenzi tafuta mwengine mwenye uhitahi was mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…