Inategemea ila wazee pesa lazima utoe coz usipotoa kuna wanaotoa kama hawana akil nzuri so ukijibana looool unaumbuka ___-- Yaani hakuna jinsi utatoa tu ___ Ila kama ni mtu akupendae atahitaji pesa kwa kaz ya maana sio kichen Party ---- Na kama huna sunamwambia ukweli ?? Af sinibora anekwambia 50000 kuna wanokutokea macho makav anataka I S T au 3ml af hacheki mkav machoni balaa
Nifan, miss chaga, rubii, Evelyn Salt, njooni mnifundishe kupiga japo vimzinga vidogovidogo , mi nashindwaga kuomba hata vocha huu ni ulemavu aisee
nnavyoona nyuzi watu wanaomba hela huku kwanza mi nawazaga mmmh cjui nayeye kaishiwa..
Hivi kwa iyo izo papuchi ni biashara, inamaana gani ya kuendelea ya kuwa wapenzi !!, ninavyojua wapenzi ni tofauti na malaya wanaojiuza so nyinyi mademu zetu ni Malaya mana sasa iyo mizinga imezidi inakuwaje kama munajiuza sasa munakera sana
Kama wewe mpo sayari gani???
"Kula uliwe".
Baada ya gharama zote hizo sasa subiri na UKIMWI.
basi achana nae katafute malaya kama hakuna tofauti kati yao.
Nifan, miss chaga, rubii, Evelyn Salt, njooni mnifundishe kupiga japo vimzinga vidogovidogo , mi nashindwaga kuomba hata vocha huu ni ulemavu aisee
nnavyoona nyuzi watu wanaomba hela huku kwanza mi nawazaga mmmh cjui nayeye kaishiwa..
Nifan, miss chaga, rubii, Evelyn Salt, njooni mnifundishe kupiga japo vimzinga vidogovidogo , mi nashindwaga kuomba hata vocha huu ni ulemavu aisee
nnavyoona nyuzi watu wanaomba hela huku kwanza mi nawazaga mmmh cjui nayeye kaishiwa..
hahaha rubii
mkuu ntakuwa mgonjwa labda , cjuagi kupiga vibomu jabisaaa na sijawahi duuu nkisoma nyuzi humu natamani mtu anipe tuition nimlipe!!! sijawahi omba hata kununuliwa simu ya nokia tochi
Na kwanini upige vizinga? Just be a woman na mwanaume anayetambua majukumu yake atatoa tu yaani walaaa hutumii nguvu, hivyo vizinga vya vocha waachi form 2.
"Kula uliwe".
Baada ya gharama zote hizo sasa subiri na UKIMWI.
kweli wewe umeongea kitu kzur hata mimi h tabia inanikera mno mana mapenz n kuungana ktk meng sa limtu unakuta daily wewe ndo umpigie dada zetu mbadilikeWasichana wengi siku hizi hawaolewi sababu ni wapiga mizinga sana, mtu unskuta hata kuchat kwa msg ni mpaka umtumie ww credit unless no chatting hata km cm yake ina credit zq kutosha!
Mmmmh kwahiyo we ndo unahudumia?Nifan, miss chaga, rubii, Evelyn Salt, njooni mnifundishe kupiga japo vimzinga vidogovidogo , mi nashindwaga kuomba hata vocha huu ni ulemavu aisee
nnavyoona nyuzi watu wanaomba hela huku kwanza mi nawazaga mmmh cjui nayeye kaishiwa..
Mmmmh kwahiyo we ndo unahudumia?
hakuna hata cha mbinu ndugu, uso mbuzi tu, macho makavu unaomba
ukiwa na mbinu mbinu utaonekana mwizi
majukumu labda mumeo au baba yako.....ila bf tu hivyo ni vizinga