Kweli kama wanabisha waje tuwaone hapa
Kutoa kwa radhaa ina raha yake!!! Tena siyo kila mzinga unaliza....!Inategemea ila wazee pesa lazima utoe coz usipotoa kuna wanaotoa kama hawana akil nzuri so ukijibana looool unaumbuka ___-- Yaani hakuna jinsi utatoa tu ___ Ila kama ni mtu akupendae atahitaji pesa kwa kaz ya maana sio kichen Party ---- Na kama huna sunamwambia ukweli ?? Af sinibora anekwambia 50000 kuna wanokutokea macho makav anataka I S T au 3ml af hacheki mkav machoni balaa
Wanadada Punguzeni Mizinga Isiyo Ya Lazima.Mtu Hamjaoana Lakini Hela Anazoomba Ni Zaidi Ya Mke Wa Ndoa.Anakutajia Shida Lundo We Kama Babake.Weaving 50,000,nguo Yangu Ipo Kwa Fundi 80,000,nimechoka Simu Ya Batani Nataka Huawei Y 360 180,000.Beby weekend tunakichen part nitoe 20,000 ya zawadi,jamani haya ni mapenzi au biashara??

"Kula uliwe".
Baada ya gharama zote hizo sasa subiri na UKIMWI.
Nawe tongoza kulingana na kipato chakoNa Pia Uombe Kutokana Na Kipato Cha Mpenzi Wako.Anayeomba Gari Anajua Unalo.Mie Sina Hata Basikeli Afu Unaomba Toyota IST unanikomoa au?