Jamani mimi mapenzi tena basi!


Nimetoka njia hiyo hiyo, umaskini ni unauita kwa mikono miwili.
Nimefulia kushinda AT na Benja kwenye wimbo wao wa Nimefulia.
 
Nimetoka njia hiyo hiyo, umaskini ni unauita kwa mikono miwili.
Nimefulia kushinda AT na Benja kwenye wimbo wao wa Nimefulia.
Umasikini ni kichwa cha mtu mkuu.

Aliekuambia kuwa na mademu wengi ni umasikini ni nani?
Au wewe unahonga
 
Acha ujinga mkuu kuna maisha mengine siku zote
 
Achana nae hyo akufai njoo kwangu utulize akili mana me mwnyew nmesalitiwa wiki tu imeisha
 
Pengine mpole na mstaarabu sana kizazi cha 4g kinapendwa kupendwa na wanaume wakorofi.lakin pia wewe bado kijana usjali mambo ya takaa sawa.kinge ujiulize ni kinani na wapi unapata wanawake wako pengine inaweza ikawasababu easy come easy go
 
Daah nimekuelewa mkuu
 
Asante kwa ushauri ndugu yangu
 
Unataka ushauri gani?huna akili zako mwenyewe kuangalia tukio na ushauri unaoomba!jibu unalo hapo ulipo mkuu,au hulitaki?Weka ule wimbo wa' waache waoane'uusikilize.
 
Asante ndugu yangu lkn kinachonisumbua ana ujauzito ambao sijui na sina uhakika km ni wangu au si wangu, nimebaki njia panda sijawai kupanga mtto wangu alelewe na mama wa kambo au baba wa kambo.
Sasa kaka kuhusu ujauzito ickupe shida msaidia kumtuza kisha utapima DNA ikiwa sio wako uciumie kwani yote ni majaribu mungu anaendelea kukutafutua akupendae sorry kama ujapenda ushaur wangu
 
Nimekupata
 
laki tano kwa siku NOTED ... okey naendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…