Jamani mi mgeni ndokwanza nimefika

Jamani mi mgeni ndokwanza nimefika

zandar

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
99
Reaction score
18
Nataka mchumba mambo yakiwa mazuri awe mama watoto wangu nakaa mbagala kmbangulile
 
kama unakaa mbagala, ukitaka kusimama huwa unasimama wapi? kulala je?
 
kwanza umeshakaguliwa? nakuonya kama utamsogelea my passion lady unaweza kukimbia jukwaa au kupoteza meno yako yote.
so watch out.
mwandikie barua mwenyekiti Baba V ya kutaka mchumba alaf yeye ndio atakupa orodha hila unA assets?
 
Last edited by a moderator:
Ndukiiiii...........!!!!!
Nitarudi ukishapata mchumba...
 
mbagala karibu na maji matitu kuna wadada wengi sana....
na wengi ni me singo lediz
 
Mbagala wataka mchumba? Ok ni haki ila angalia humu usijetolewa nundu bure huku kila mtu na wake wengine yetu macho tu.
 
subir jumapili kukiwa na show pale Shigongo alipowajengea club utapata
 
Hapa jirani kuna binti katoka mkoleni, bado kupata nchumba! Vp nkuunganishie?
 
Back
Top Bottom